Pages

Tuesday, 18 December 2012

HOW UHURU DUPED MUDAVADI ..comedy

Image Alt
Someone has been crying foul on the political kindergaten scene. Deals gone sour, promises broken and what not. Well, this is what I think did not happen between MM and UK during that meeting to entice MM to get into the coalition.

UK: Habari Madam
MM: Poa.
UK: Haki si wewe ni mrembo
MM: Haki unanidanganya
UK: True of God
MM: Kweli? Wamaume mnakuanga na uwongo sana
UK: Si uwongo. Ni ukweli mtupu. Na nataka twende kwangu
MM: Ai? Tukafanye?
UK: Si unajua.
MM: Najua nini?
UK: Wewe ni msichana mrembo na mature. Unaelewa.
MM: Wee, mimi sitaki hizo story
UK: Nitaingiza kichwa tu.
MM: Hivyo ndivyo mnasemanga. Wanaume nawajua.
UK: Mimi si ka hao wengine
MM: Na ukinidanganya?
UK: If I cheat, I hate God
MM: Kwanza hata hujaninunulia drink. Ebu nunua.
UK: Drink? Drink pekee. Mimi nakununulia EABL yote ukikubali tuende kwangu
MM: Wacha uwongo. Pesa utoe wapi hizo zote.
UK: Angalia noti zote za hii country my dear. Hio ni picha ya mbuyu. Pesa sio shida
MM: (To herself) *Hapa nime conquer* But niko na doubts
UK: Nitakupatia gari yangu actually uende nayo asubuhi alafu uniletee next week
MM: Ai? Na wewe utatumia nini?
UK: Nitatumia ya Willi.am R.
MM: Ok, sawa. Na umesema tu kichwa, sawa?
UK: Wee usijali

------------- Later that night ---------------------

MM: Jehovah! Hiyo yote ni kichwa?
UK: Ai, nyamaza. Najua chenye nafanya! Ni kichwa kubwa.
MM: Waaa! Sipendi vile hii story inaenda. Hiyo sio kichwa pekee.
UK: Kwani wewe ni wapi? Kaa vizuri. Si nakupatia gari asubuhu? Hutembei.
MM: Ai? Ngai. No. No. Noooo. Nooooooo (turns into moans) ... Noooo ... Yes. GOSH! OMG! Aaaah.

----------- Next Day at Five -----------------

UK: Wee, hebu amka
MM: Saa hii?
UK: Amka! Mathee amesema anakam na siwezi taka akupate hapa
MM: Na gari? Ninaenda nayo?
UK: Una kichaa wewe?
MM: Ulisema .... 
(SLAP)
UK: Nimekwambia utoke! Unasikiza pombe ikiongea halafu unaleta kisirani asubuhi. Toka!
MM: Nataka haki ya...
(SLAP)
UK: Nimesema utoke, kwani huna maskio?

------------ Later ----------------------
MM: Aliniambia ni kichwa tu, baadaye ikakuwa ati nikule miwa yote. Sasa
nitakaa hapa mpaka anilitee gari na title deed ya EABL
World: LOL. Silly bitch. Ulikuwa chipo
MM: Mimi siwezi kuwa chipo! Naita press conference!

And there you have it. At least that's what I imagine happened. Or what do you think happened?

No comments:

Post a Comment